Recent comments

Breaking News

Exclusive:- Wizkid kupiga collabo na Chris Brown soon......Read More

Siku za usoni, Wizkid anaweza kuwa msanii wa kwanza wa Nigeria (kama sio wa kwanza Afrika) kufanya wimbo na Chris Brown.
Muimbaji huyo kipenzi cha wanawake, amesema hayo alipojibu swali la shabiki kupitia hashtag ya #AskWizkid inayosimamiwa na MTV Base kwaajili ya tuzo za MAMA.

Akijibu swali lililouliza, ‘Do you have plans of doing a collaboration with @chrisbrown’ Wizkid alijibu ‘Yup i will!! #FreeBreezy!!!
Kuhusu swali la iwapo hutoza fedha kwaajili ya kushirikishwa, Wizkid alijibu ‘No cost..if i like it i jump on it..if not sorry.

No comments