• Home
  • About
  • Contact
  • Advertise

BONGO HITS ©2013

Recent comments

    • World
    • Sports
    • Tech
    • Community
    • Shop
    • Features
  • Breaking News

    Home / Unlabelled / Kama ulikuwa hufahamu hili ndilo dau la kuwalipa wasanii katika show nchi Nigeria, ambapo wanaongoza kwa dau kubwa ni P-Square......Isome hapa listi nzima mtu wangu!

    Kama ulikuwa hufahamu hili ndilo dau la kuwalipa wasanii katika show nchi Nigeria, ambapo wanaongoza kwa dau kubwa ni P-Square......Isome hapa listi nzima mtu wangu!

    12:14:00 PM




    Diamond Platnumz aliwaza mbali mpaka kuamua kuanza kuutangaza muziki wake nchini Nigeria, na kuanza kufanya collabo na wasanii mastaa wa nchi hiyo sababu msanii akikubalika huko ni rahisi kuneemeka kwa shows za hela nyingi kama wanavyofaidi mastaa wa nchi hiyo.
    Kama ulikuwa unajiuliza kwanini wasanii wengi wa Nigeria wanaishi maisha ya kifahari, jibu ni kuwa mbali na endorsement, pia wanatengeneza pesa ndefu sana kupitia show zao.
    Mtandao wa Vanguard wa Nigeria umeandika kiasi cha pesa wanachotoza wasanii wa A-list wa Nigeria kwa show moja.
    P-Square – M 150 Tshs
    Mapacha wa P-Square Peter na Paul ndio wasanii wanaoonekana kutoza pesa nyingi zaidi, ili watumbuize katika show wanatoza kuanzia Naira milioni 8 hadi 15, sawa na Tshs milioni 81 hadi milioni 152 kwa show moja.
    D’banj – Milioni 100 Tsh
    Koko Master D’Banj anatoza kuanzia Naira M6 hadi 10 sawa na Tsh milioni 60 hadi M100 kwa show.
    2 Face – Milioni 60 Tsh
    2 Face Idibia anatoza kuanzia Naira milioni 5- 6 ambayo ni sawa na Tsh milioni 50 hadi milioni 60 kwa show moja.
    Wizkid – M 50 Tshs
    Wizkid hutoza kuanzia Naira milioni 4-5 sawa na Tshs milioni 40 hadi 50 kwa show.
    Flavour – M 30 Tshs
    Flavour huchukua Naira milioni 3 sawa na Tshs milioni 30 kwa show
    Iyanya – M 30 Tshs
    Kukere master Iyanya hutoza sawa na Flavour Naira milioni 3 sawa na Tshs milioni 30
    Davido – M 35 Tshs
    Davido ambaye pia ameshirikishwa katika Number 1 na Diamond Platnumz, hutoza Naira milioni 3 hadi 3.5 sawa na Tshs milioni 30 hadi 35 kwa show.
    Tiwa Savage – M 25 Tshs
    Tiwa Savage ambaye zamani akiwa Marekani alianza kwa kuwa backup singer kwa wasanii wakubwa kama Mary J na wengine, yeye huchaji Naira milioni 2.5 sawa na tshs milioni 25 kwa show.
    Orodha hii iko hapa www.vanguardngr.com




    Kama ulikuwa hufahamu hili ndilo dau la kuwalipa wasanii katika show nchi Nigeria, ambapo wanaongoza kwa dau kubwa ni P-Square......Isome hapa listi nzima mtu wangu! Kama ulikuwa hufahamu hili ndilo dau la kuwalipa wasanii katika show nchi Nigeria, ambapo wanaongoza kwa dau kubwa ni P-Square......Isome hapa listi nzima mtu wangu! Reviewed by bongohitz1 on 12:14:00 PM Rating: 5
    Share This
    Facebook Twitter Google+

    No comments

    Subscribe to: Post Comments ( Atom )

    Social Counter

    • facebook count=3.5k;
      Followers
    • twitter count=1.7k;
      Followers
    • gplus count=735;
      Followers
    • youtube count=2.8k;
      Followers
    • pinterest count=524;
      Followers
    • dribbble count=7.3m;
      Followers
    • instagram count=849;
      Followers
    • rss count=286;
      Followers

    Recent Posts

    Comments

    recentcomments

    HITS VIDEOs







    Featured Posts

    Recent Posts

    Recent in Sports

  • Created By ThemeXpose