Hivi umeliona tangazo la Wayne Rooney ambalo hata ukipaki basi ni shidaah tu lazima atapita! Litazame hapa mtu wangu.......
Mtindo wa kupaki basi ikimaanisha kwamba kulinda goli kwa wachezaji wengi ambao umetumiwa na kocha Jose Mourinho na timu yake ya Chelsea ulichukua headlines sana mpaka akawa analalamikiwa na baadhi ya makocha wenzake.
Sasa wabunifu wametengeneza tangazo la Nike likimuonyesha mchezaji Wayne Rooney akifunga goli licha ya basi la ukweli kupaki mbele ya goli
No comments