Video ya Uzuri wako kutoka kwa msanii Jux imezuiliwa kurushwa kwenye vituo vya TV kwa hapa Tanzania kutokana na sababu za zilizosemekana kuwa ni za kimaadili.
Leo hii 6/3/2014 Jux amehabarisha kuhusu video yake kuanza kupata airtime kwenye kituo cha channel O.
No comments