Miley Cyrus achora tattoo ya paka ndani ya mdomo wa chini.
Miley Cyrus ameonesha tattoo mpya aliyochora ndani ya mdomo wa chini (lower lip), na inamuonesha paka akiwa anatoa chozi.
Paka huyo mwenye rangi ya njano anaonekana akidondosha chozi la rangi ya blue. Tattoo hiyo haiwezi kuonekana hadi Miley Cyrus afungue na kushika mdomo wa chini.
Mwimbaji huyo wa Wrecking Ball aliweka picha inayoonesha tattoo yake kwenye Instagram na akaandika “Sad Kitty.”
No comments