Recent comments

Breaking News

Exclusive:- Hizi ndizo Picha za Ommy Dimpoz aki-shoot video ndani ya jiji la London

dds

Omari Nyembo maarufu kama Ommy Dimpoz kwa muda mrefu yupo London ambapo ametumia muda huo kuangalia mechi za ligi ya uingereza pamoja na kuhudhuria show ya Beyonce na Jay Z

Kitu kingine kilichomfanya Ommy Dimpoz kukaa sana huko London ni ku-shoot video yake mpya ya wimbo unaoitwa Ndagushima chini ya director Moe Musa.
Moe Musa ame-direct video nyingi za wasanii wa Nigeria moja wapo ni Skelewu ya Davido.
Hizi ni picha zilizotoka kwa Moe Musa wakiwa location wana-shoot hiyo video.
d
d2

No comments