Video Mpya: Rabbit Feat. HHP & Wangechi- Tulia Tu
Rapper Mkenya Kevin Onimba maarufu kama Rabbit au Kaka Sungura amempa shavu rapper wa Afrika Kusini anayefahamika zaidi kwa kurap kwa lugha ya kikwao ‘Setswana’, na rapper wa kike mkenya anayeitwa Wangechi.
Muunganiko huo umezaa ngoma kali inayoitwa ‘Tulia Tu’ na kisha kufanyiwa video nzuri iliyoongozwa na ‘Enos Olik’. Utaipenda hii
No comments