Video Mpya: 50 Cent-The Funeral
Siku mbili baada ya kutangaza rasmi kuacha kufanya kazi na Shady Records, Aftermath Entertainment na kampuni mama la Interscope, Curtis Jackson aka 50 Cent ameachia video ya wimbo wake mpya 'Funeral', wimbo utakaopatikana kwenye album yake ya 'Animal Ambition' itakayotoka rasmi mwaka huu.
Hii ni kazi ya kwanza kuitoa akiwa chini ya kampuni ya usambazaji ya Caroline/Capito/UMG.
No comments