Quick Racka kuja na ngoma mpya aliyomshirikisha Ben Paul "PENZINI"
Tayari kuna ahadi za ngoma kibao kwenye foleni kama vile Asante kutoka kwa AY, Unanichora kutoka kwa Ben Pol, Alma kutoka kwa The late Albert Mangwair n.k ambazo zinatarajiwa kutoka ndani ya mwezi huu wa pili zikiwa kama zawadi ya Valentine kwa wadau wa muziki.
Naye Quick Rocka hit maker wa My Baby aliyowashirikisha Shaa na Late Mangwair ameweka wazi ujio wake mpya ndani ya mwezi huu wa pili kwa ngoma iitwayo ‘Penzi’ akiwa amemshirikisha mkali wa R&B Ben Pol.
No comments