Recent comments

Breaking News

Exclusive:- Je unajua kuwa Dubai ndio nchi pekee duniani ambapo vituo vyake vya mabasi vina AC yaani viyoyozi! Read more

dubai 2
Dubai ni sehemu ambayo hata nchi nyingi kubwa duniani zinaipa salute… ni sehemu ambayo imejengwa kwenye miaka ya karibuni hivyo kufanya vitu vyake vingi kuwa vya kisasa na vyenye ubunifu mkubwa.

Ni sehemu ambayo pia unaambiwa ina usalama mkubwa duniani..............
January 2014 kupitia Dubai 1 TV, serikali ya nchi hii imetangaza kuweka AC kwenye vituo vyote vya basi ili kusaidia wasafiri mbalimbali kwenye kipindi cha majira ya joto, kipindi ambacho kinasifika kwa joto kubwa.
Dubai 1
dubai 3
dubai 4
dubai 5
dubai 6
dubai 7
dubai 8
Huu ni muonekano wa nyuma wa vituo vyenyewe na vilivyowekewa AC.

dubai 9
dubai 10

No comments