Exclusive:- Tazama Interview ya Diamond na televisheni ya Kenya "KTN"
Diamond Platinumz ndio msanii pekee Tanzania anayeongoza kwa mkwanja mrefu na pia ndiye msanii pekee anayeongozwa kulipwa mkwanja mrefu katika show zake ndani na nje ya nchi pia. Ameweka rekodi hiyo kwa miaka mitatu mfululizo huku kila mwaka dau lake likiongezeka na kuzidi kupanda chati zaidi.... Amefanya video za kimataifa pamoja na wasanii kadhaa wanaotikisha Afrika na Production kubwa Afrika ambazo zinaheshimika. Hivi juzi juzi alivyoenda Kenya amefanya Interview na moja ya Televisheni marufu ya nchini Kenya "KTN"
No comments