Recent comments

Breaking News

Mario Balotelli alionekana akitokwa na machozi jana usiku katika mchezo wa ligi kuu ya Italia kati ya timu yak AC Milan dhidi ya Napoli

Bf-3UFjIIAAR-LO
Mario Balotelli alionekana akitokwa na machozi jana usiku katika mchezo wa ligi kuu ya Italia kati ya timu yak AC Milan dhidi ya Napoli, hali ilitokea baada ya kutolewa uwanjani zikiwa zimebakia dakika 15 kabla ya mchezo kuisha.
Baada ya Adel Taarabt kuifungia Milan bao la kuongoza katika dakika ya 8 tu mchezo,  Gökhan Inler  akaisawazishia Napoli kabla ya Gonzalo Higuain kufunga mabao mengine ya ushindi yaliyomtoa machozi Super Mario.

No comments