Recent comments

Breaking News

Exclusive:- Hizi ndizo rekodi sita pekee zilizovunjwa na David Moyes ndani ya Old Traford 2013-2014. Je atapewa nafasi "NEXT SEASON"

article-2554064-1B5519B300000578-601_964x390
Klabu ya Manchester United imekuwa ikiweka rekodi mpya ambazo ni hasi kwa klabu hiyo tangu kocha David Moyes aliporithi rasmi mikoba ya Sir Alex Ferguson mnamo Julai 1, 2013.
rec
Hizi ni baadhi ya rekodi zilizowekwa na Man United chini ya Moyes kabla ya mchezo wa jana
Katika mchezo wa jana dhidi ya Fulham ulioisha kwa sare ya 2-2, rekodi nyingine ilitengenezwa.
Imepita miaka 55 tangu Fulham waweze kupata sare ndani ya uwanja wa Manchester United – Old Trafford ambapo mara ya mwisho kwa klabu hiyo ya London kupata sare OT ilikuwa mwaka (1959)

No comments