Recent comments

Breaking News

Damian Soul kufanya onesho siku ya Valentine kesho tarehe 14.02.2014

Mkali wa sauti na uwezo mkubwa wa kuchezea ala kadhaa za muziki nchini, Damian Soul naye ameingia kwenye orodha ya wasanii watakaokuwa na show siku ya wapendanao kwenye maeneo mbalimbali Tanzania.


Mkali huyo anayetamba kwa sasa na ngoma yake ya ‘Ni Penzi’ aliyomshirikisha Joh Makini, atakuwa pamoja na ‘The Core’ maeneo ya Triniti bar & Restaurant kushusha burudani kali na maalum kwa siku hiyo ya wapendanao.

No comments