Recent comments

Breaking News

Scandal:- Muonekano mpya wa Wema kwenye Magazine ya Vibe yazua gumzo. Angalia video

Msanii wa Bongo Movie na mmiliki wa Endless Fame Production yenye maskani yake KinondoniWema Sepetu, ndiye msanii pekee anayeongoza katika headlines mbalimbali katika blogs na magazeti toka mwaka huu kuanza. Tukumbuke Desemba 25'2013....Diamond Platinumz alimtambulisha Wema kuwa ndiye mwandani wake mtarajiwa na hatimaye Mwanadada huyo akaamua kupost picha zake na jembe lake
 Lakini tetesi zikaja kwamba mkali huyo Madame Wema anatoka na msanii wake Mirror...Habari zikavuma na Sudi Mzee wa Makorokocho alikinukisha redioni laivu lakini jamaa akamkana Bi shosti huyo daaah....


No comments