Recent comments

Breaking News

FID Q KAFUNGUA RASMI UJAMAA HIP HOP DARASA

Msani wa Hip Hop hapa Tzee Farid Kubanda aka Fid Q anayefahamika zaidi kwa jina la Ngosha The Don, siku ya leo amezindua rasmi Ujamaa Hip Hop Darasa.
Ujamaa Hip Hop Darasa litakuwa na deal na ufundishaji wa mambo ya Graphics, DJ, Dancer’s, mafunzo ya Hip Hop in general etc.
Darasa rasmi litaanza siku ya J, mosi wiki inayokuja so kama wewe unahitaji kujiunga unaweza kudownload fomu kupitia http://cheusidawa.tv/2014/01/07/ujamaa-hip-hop-darasa registration-forms au unaweza kufika katika ofisi zao Global Platform maeneo ya Upanga mtaa wa Charambe karibu International School Of Tanganyika (IST) siku ya J,mosi kuanzia saa 3 asubuhi na utaonana na wahusika wote. Wahi sasa nafasi ni chache.
F1
F6

F10

No comments