Recent comments

Breaking News

Jokate Mwegelo ni mshiriki pekee wa Miss Tanzania 2006 ambaye amethubutu katika machache na kufanikiwa.....Read More

Miaka ya 2006 Jokate Mwegelo alikuwa Top Three ya Miss Tanzania(Miss Kurasini 2006 then Miss Temeke 2006 na Miss Tanzania number 2) huku wakiongozwa na Wema Sepetu (Miss. Tanzania 2006), then there after she had never gave up....

Akaonekana katika filamu yake ya kwanza mwaka 2007 "Fake Pastor" filamu ambayo ilimuongezea umaarufu zaidi na hatimaye kupata madili ya kufanya filamu na wasanii wengine maarufu katika tasnia hiyo ya Bongo Movie.

Akalivumisha na kuanzisha kampuni yake ya uanamitindo ambapo alikuja na mbinu yake ya kibiashara ambapo alitengeneza nywele yenye logo ya Kidoti
Jokate sio tu mwanamitindo bali pia ni mwanamuziki na mshereheshaji wa shughuli mbalimbali nchini, kwa sasa Jokate ataonekana katika aSiri ya Mtungi Season mpya na muvi mpya ya JB inayojulikana kama Mikono salama


No comments