Recent comments

Breaking News

HII NDIO CLIP IKIONYESHA UGOMVI ULIOTOKEA BACKSTAGE YA BET AWARDS KATI YA RICK ROSS NA YOUNG JEEZY


Hiindio clip ikionyesha ugomvi uliokuwa ukiendelea Back stage ya BET  AWARDS 2012, Young Jeezy na Rick Ross got into scuffle. maaskari nao wamesema ugomvi ulihamia nje karibu na trailers na milio ya risasi ziiskika, msanii  wa "Gun Play" alirukiwa na member zaidi ya 5 wa kundi la 50 cents. Gun Play alienda nao mkono kwa mkono mpaka pale askari walipopulizia pepper spray na kumshika Gun Play

No comments