Recent comments

Breaking News

MISS TABATA AFUMWA LAIVU PANDE ZA MADIBA AKISABABISHA NA KIBABU



Huu ndio upuuzi wanaofanya wale wanaotakka kwenda kutuwakilisha watanzania katika mashindano ya mamiss duniani. Lakini ni kila siku wimbi na vuguvugu na uchafu wao umekuwa ni kasumba kwao na hata kufikia hatua wanadhalilisha nchi hussika na raia wake. Kwa mtazamo itakuwa vizuri kama haya mashindano ya kutembea uchi jukwaani yanayozaa matunda ya kutembea na vigogo na mapedezshee yangepigwa marufuku au kutiliwa sheria kali kama nchi zingine barani Afrika, maana sio utamaduni wa Muafrika aliyestaarabika kuonesha kachupi kake jukwaani mmbele ya wazazi wao, ni aibu na ujinga katika nchi.

No comments