HII NDIO CLIP INAYOONESHA BEEF YA NICK MINAJI NA MARIAH CAREY...AMBAPO INAONESHA PALE NICK MINAJ ALIPOKUWA AKIMCHANA MARIAH CAREY
Hii beef ya Nicki Minaj vs. Mariah Carey inaanza kuamsha vugu vugu baada ya video ya nicki akimchana Mariah Carey kuvuja kupitia via TMZ, Mariah amahakikisha kwa mwandishi wa habari mkongwe Barbara Walters kuongea upande wake wa stori
asubuhi ya leo kupitia "THE VIEW" Walter aliwaambia watazamaji wa kipindi hicho kuwa Carey kamuambia kuwa Nicki amemtishia kumuua na kuwa imembidi akodishe usalama zaidi kumlinda.
mcheki Barbara kwenye kipindi chake che "the view"
No comments