Recent comments

Breaking News

Exclusive:- Tuzo za wasanii wa filamu ACVC AWARDS zimeharishwa kufanyika tarehe 30

IMG-20140418-WA0082 copy
Tuzo za wasanii wa filamu ACVC AWARDS zimeharishwa kufanyika tarehe 30 pale Serena Hotel kwa sasa zimehalishwa mpaka mwenzi wa saba baada ya World Cup akiongea na BK mratibu wa shindano hilo Bond Bin Sinnan amesema.
”Tulipanga mwenzi huu mwishoni tuzikamilishe ila kutokana na World Cup pale tumeharisha utoaji wa tuzo hadi mwenzi wa saba baada ya kumalizika kwa mashindano ya World Cup.
Sababu muamko wa upigaji kura kuanzia kwa wasanii wenyewe mpaka mashabiki umekuwa mchache sasa tumeona ni bora kuongeza muda zaidi ili zoezi liwe sawa.
Yaani mpaka imefikia msanii hana kura moja na ni kitu kisichowezekana so tumesogeza mbele ili upigaji wa kura uendelee zaidi.
Na kwa sasa tumeshusha gharama ni kawaida sh 49 tu hivyo wasanii na mashabiki mnatakiwa kupiga kura kwa bidii hili kufanikisha suala hili.” Bond Bin Sinnan

No comments