Gabo aomba dua za mashabiki mara baada ya kupata ajali ya pikipiki........Isome hapa

Msanii wa filamu anayekuja kwa kasi sana Salimu Ahmad aka Gabo aliyopata ajali wiki moja iliyopita maeneo ya Kokoto Kilwa road akiwa kwenye pikipiki na kupushiwa na Roli mpaka kwenye mtaro.
Baada ya kushonwa nyuzi kibao ila bado mguu una msumbua sana kusababisha kushindwa kufanya shughuli zake.
”Nina wiki na zaidi tangu kupatwa ajali na kunisababishia kuumia na kushindwa kabisa kutembea vizuri.
Kiukweli siwezi kufanya lolote lile na hata shughuli zangu zimesimama kabisa kwa sasa coz nimeumia kiukweli mpaka shughuli haziendelei.
Hivyo mashabiki wangu waniombee na kila Mungu akijalia nikiwa sawa kila kitu kitaendelea kwa maana nilikuwa naendelea kufanya filamu yangu na imesimama kwa sasa.”
No comments