Baada ya Pharell kumwaga machozi kwenye kipindi cha Ellen Degenerous kwa kushangaa jinsi ulimwengu unavyoikubali ngoma yake ya Happy, sasa ni zamu ya wasanii baadhi wa bongo movies waliojipanga na kutoa video hii. Baadhi ya version za happy zilizowai kufanywa ni pamoja ile maarufu ya wafanyakazi wa clouds TV. Je , jamaa wamefanya kweli au wamezingua ?
Wasanii wa bongo movies watengeneza video ya happy ya pharrell, noma sana….
Reviewed by bongohitz1
on
10:28:00 AM
Rating: 5
No comments