LULU "GEREZANI KUMENIFANYA NIMJUE NA KUMCHA MUNGU"
Kwa mara ya
kwanza muigizaji wa filamu, Elizabeth Michael aka Lulu jana alifanya
interview ya kwanza tangu atoke gerezani January mwaka huu.
Lulu aliye
na muonekano wa ‘udada’ zaidi alihojiwa jana kwenye kipindi cha Take One
cha Clouds TV kinachoendeshwa na Zamaradi Mketema.
Katia interview
hiyo, Lulu aliongea masuala mengi kuhusu maisha yake ya sasa, mipango
yake na mengine lakini akidai kuwa hatopenda kuongelea suala la uhusiano
wake na Kanumba kwakuwa anahisi bado hajawa tayari ila muda ukifika
atafunguka mengi.
No comments