HATIMAYE CPWAA KAJIUNGA NA UNIVERSAL MUSIC GROUP
Msanii kutoka kundi la Park Lane amejiungaa na Universal Music Group.
Kazi zake zitasambazwa na kampuni ya Kleek,a mobile streaming service
available on all Samsung smart phone in Ghana, Angola, Kenya, South
Africa and Nigeria.
Mkataba huu utamnufaisha sana Cpwaa kujulikana ulimwenguni na pia kuweza kujiongezea kipato zaidi.
No comments