Recent comments

Breaking News

HAYA NDIO MAONGEZI YA OBAMA NA KIKWETE KABLA YA KUJA BONGO "VITUKO VYA FACEBOOK"

Phone call from USA
Obama:habari yako kijana
Kikwete: safi mzee, shikamoo
Obama:Marhaba, eenh yule rais wa china alikuja kufanya nini huko kwako?
Kikwete:alikuja kuhutubia dunia mzee
Obama:hv ww ukoje, si nlishakukataza tabia hzo, alikuja kuhutubia dunia kivipi kwani huko kwake
hakunaga majukwaa?
Kikwete: sio hivyo mzee, unajua aliniambia ata2jengea ukumbi mkubwa wa mikutano na..
Obama:Yani huoni hata aibu mmejitawala miaka 50 mnashindwa kujenga hata ukumbi hadi
msaidiwe, na naskia alikupa mikataba mingi sana usaini, ilikuwa inahusu nini.
Kikwete: dah, mzee hapo ndo tatizo sasa maana yote imeandikwa kichina, ila naamini ni mambo
mazuri
Obama:mambo mazuri kivipi, usikute umeshauza vitu vyangu huko au vya Bush bila kujua
Kikwete:Hapana mzee
Obama:mwezi ujao nakuja kukagua mipaka kule kigamboni, migodi yangu na mambo ya gesi nijue
yanaendaje maana naskia watu wanaandamana
Kikwete: sawa mzee, uniletee pesa kidogo basi kuna bandari nataka kujenga hapa bagamoyo
Obama: sikupi hela, mwambie huyo mchina akupe, kwanza unajenga bandari ya nini wakati hiyo ya
dar imekushinda au ni mambo ya sifa kujenga bandari kijijini kwako.

No comments