Recent comments

Breaking News

GERADO MARTINO NI KOCHA MPYA WA BARCELONA

Barcelona wamemchagua kocha mpya kutoka Argentina “Gerardo Martino” ambaye ataziba nafasi ya Tito Vilanova. Kocha huyo mwenye miaka 50, ataiongoza Barcelona kwa kipindi kisichopungua miaka miwili.
However, the Catalan club have ignored more high-profile candidates in favour of Martino, who is considered to have a similar style to former Athletic Bilbao manager Marcelo Bielsa.
Captain wa Barcelona Carlos Puyol amesema “Gerado Martino anafaa sana kuingoza timu ya barcelona na sisi tunaelewa uwezo wake hasa unapokuja kwenye style yetu ya uchezaji wa mpira”.

    No comments