ALBUM YA CPWAA “PWAA THE ALBUM” INAPATIKANA KWENYE ITUNES
![]()
Album mpya ya Cpwaa inayoitwa “Pwaa the album” inapatikana kwenye mtandao wa itunes. Cpwaa ambaye hivi karibuni alijiunga na Universal Records ameanza kupata mafanikio makubwa ya mziki wake baada ya kuweza kuuza album yake kwenye Itunes.
|


No comments