Recent comments

Breaking News

USIKU WA KING ALBERT MANGWAIR KUFANYIKA SAMAKI SAMAKI TAREHE 30

Usiku wa kumuenzi King Albert Mangwair (King of Free style) utakao ufanyika samaki samaki siku ya tarehe 30 june 2013 kwanzia saa 7pm mpaka 12pm.
Usiku huo kutakuwa na vitu exclusive kama kusikia kwa mara ya kwanza wimbo wa FID Q alioshirikiana na Albert Mangwair unaoitwa “watuache”.
Makusanyo yote ya viingilio yatakayopatikana atapewa Mama Mzazi wa marehemu Albert Mangwair.

No comments