ANCELOTTI KATANGAZWA RASMI KUWA KOCHA MPYA WA REAL MADRID MSIMU UJAO BAADA YA JOSE MOURINHO KUHAMIA CHELSEA HIVI KARIBUNI

Ancelotti anatarajiwa kutambulishwa siku ya jumatano na yeye ndiye atakaye chukua nafasi ya Jose Mourinho amabaye aliacha club real madrid na kujiunga na chelsea.
Ancelotti alishawahi kufundisha chelsea, na pia ni mmoja wa makocha wenye mafanikio makubwa.
No comments