HATIMAYE SHILOLE AMTIMUA MDOGO WAKE BAADA YA KUJAZWA MIMBA

STAA wa sinema za Kibongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ (pichani) 
amemtimua mdogo wake aliyekuwa akiishi naye aitwaye Mary baada ya kunasa
 ujauzito.
 
Chanzo
 makini kilicho karibu na staa huyo kimepenyeza habari kuwa, Shilole 
alifikia maamuzi hayo baada ya kumuonya binti huyo aachane na mwanaume 
aliyemjaza mimba hiyo lakini hakusikia hivyo akaona bora amtimue. 
“Kamtimua baada ya kumuonya mara nyingi bila mafanikio akaona isiwe tabu bora aepuke aibu,” kilisema chanzo hicho.
Alipoulizwa
 kuhusiana na ishu hiyo, mdogo huyo wa Shilole alikiri kutimuliwa na 
sasa amehamishia makazi kwa jamaa yake anayefahamika kwa jina la Tonny...
No comments