WIZKID WA NIGERIA ASAINI CONTRACT MPYA LEGENDARY BEATZ

Wizkid kutoka Naijeria ametangaza kusaini mkataba kwaajili ya kuanza kufanya kazi na maproducer wakali wa jijini Lagos, Mutay na Zey ambao wanaunda lebo makini ya Legendary Beatz.
Taarifa hizi zimethibitishwa kupitia ukurasa wa twitter wa msanii
huyu kupitia tweet yake ambayo inasomeka; ‘It’s Official!!…
@Mutay_Legendury and@zei_legendury Beats now on StarBoyEnt!!!…we
growing!!!…#RICH!!…yaaaaga!!
Zei pamoja na Mutay ni wasomi kutoka Chuo Kikuu cha lagos ambao
wamejijengea jina kubwa kutoka hitz kali ambazo wamekwisha zitengeneza
na mastaa kama vile Wizkid mwenyewe pamoja na kundi zima la EME,
Reminisce, Mo’Cheddah, Brymo, Illbliss pamoja na Tilla man.
No comments