Hivi ndivyo Baloteli alivyomuweka demu wake rehani kwa wachezaji wa Real Madrid.
Moja
ya vitu ambavyo siku zote ni vya uhakika ni vituko toka kwa staa wa
soka wa nchini Italia Mario Balotelli ambaye kwa sasa anakipiga na klabu
ya Ac Milan . Huuu jamaa vituko vyake viko kwenye chati na siku zote
hajaacha kuwa ‘source’ ya headlines za habari eidha kwa kitu
anachokifanya au kauli inayotoka mdomoni mwake .
Safari hii Balotelli ametoa kali ambayo hakuna ambaye aliwahi
kutarajia toka kwake , Balotelli kama unavyoweza kutarajia toka mchezaji
wa kiwango cha juu kama yeye anafuatilia michuano ya UEFA CHAMPIONS
LEAGUE hata kama timu yake ya Ac Milan haiko kwenye michuano hii na
amekuwa akiufuatilia mchezo wa nusu fainali kati ya Real Madrid na
Borrusia Dortmund ambao usiku wa leo utakuwa unapigwa kwa marudiano
baada ya ule wa wiki iliyopita .
Madrid ilifungwa mabao manne na kama ilivyo kwa asilimia kubwa ya
mashabiki Balotelli haamini kama Real Madrid inaweza kufanya maajabu ya
kugeuza kipigo cha 4-1 na kufuzu kucheza fainali . Kudhihirisha hilo
Balotelli ameweka nadhiri ya kuwaruhusu wachezaji wote wa Real Madrid
kufanya ngono na mpenzi wake ambaye ni model wa Ubelgiji Fanny Neguesha
endapo wataitoa Dortmund na kufuzu kucheza fainali .
Amini usiamini Balotelli ametoa kauli hiyo abayo imenukuliwana
magazeti mawili makubwa ya Hispania Marca na As Ambapo amesema haamini
kama Madrid wanaweza kurudi na kufanya maajabu.
Hadi sasa hakuna kauli yoyote toka kwa nyota wa Madrid kama Ronaldo ,
Ozil na Benzema pamoja na wenzao abaye amezungumzia ‘ofa’ hii ya kulala
na mpenzi wa Balotelli endapo watashinda mchezo wa leo.


No comments