HUYU NDIO STAA WA BASKETBALL KWENYE NBA ALIEJITOKEZA NA KUKUBALI KUWA NI SHOGA
The Washington Wizards
center Jason Collins mwenye umri wa miaka 34, amekubali kwamba
anashiriki mapenzi ya jinsia moja ambapo Rais wa zamani wa Marekani Bill
Clinton ambae mtoto wake wa kike alisoma na Jason chuoni ameunga mkono
kitendo cha Jason kujitangaza hadharani, mwingine aliempongeza Jason ni
John Amaechi staa wa zamani wa NBA.
Jason anasema uamuzi wake
utawashtua wengi kwa sababu japo yeye ni shoga, hakuwahi kuwa na dalili
za kuonekana ambazo wanazo watu wengi wanaoshiriki mapenzi ya jinsia
moja kama yeye.




No comments