TIWA SAVAGE NA MENEJA WAKE MAPENZI YAPAMBA MOTO WAJIACHIA LAIVU
Hiyo picha hapo juu imepostiwa na mwimbaji staa wa Nigeria Tiwa Savage akiwa na meneja wake ambapo wataalamu wa mambo wanasema picha hiyo imeashiria na kuweka uzito zaidi kwenye taarifa zinazoaminika kwamba Tiwa yuko kwenye uhusiano mzito wa kimapenzi na meneja wake aitwae Tee Billz.
Wawili hao kwa sasa wako Dubai wanakokula bata la kutosha ambapo Tiwa imekua sio tabu kwake kuonyesha hisia zake na kumshukuru meneja wake kwa msg kadhaa kupitia twitter ambazo zina maudhui ya kimapenzi.
No comments