Recent comments

Breaking News

NILICHOKIKUTA TWITTER LEO "FORBES WAMERIPOTI KWAMBA MAN U NDIO CLUB TAJIRI KWA SASA DUNIANI.


.
.
Kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa na jarida maarufu la Forbes siku ya jumatatu, Club ya Manchester United imetajwa kuwa club tajiri kati ya zote za michezo duniani kwa kuwa na kiwango cha pesa kinachofikia dola za kimarekani bilioni 3.

No comments