Recent comments

Breaking News

CHUKUA MUDA WAKO KUITAZAMA VIDEO INAYOMUONESHA LULU AKIWA MAHAKAMANI AKISUBIRIA DHAMANA



Furaha ya msanii Elizabeth Michael maarufu kama Lulu kurejea uraiani baada ya mahakama kuu Dar es salaam kuridhia kupewa dhamana imeyeyuka kutokana na kurejeshwa rumande licha ya kukidhi vigezo vya dhamana vilivyotolewa na mahakama hiyo kutokana na kutokuwepo kwa msajili wa mahakama aliyetakiwa kupitia vielelezo vya dhamana. 

No comments