Recent comments

Breaking News

HIVI NDIVYO JAY Z ALIVYOTRIRIKA NA KUFUNGUKA KUHUSU KAMPENI ZA BARACK OBAMA HUKO U.S.A


Kutoka pande za Obama land tunakutana na msanii anayefanya vizuri katika game la muziki huyu si mwingine ni Jay z sasa basi msanii huyu amefunguka kuhusiana na Rais Barrack Obama huku akisema kwamba anasifa za kuchukua uongozi pia ni rais mwenye changamoto mbalimbali hapa America.Hayo ndiyo maneno ya Jay Z kama vipi ebu fanya kama una click hii video uone jinsi alivyotiririka!!!!!!!!  

No comments