CHEGE AFUNGUKA JUU YA SKENDO YA KUZAA NA MKE WA MTU"Habari kutoka XXL ya CLOUDS FM hapo Jana"
Kwenye segment ya U Heard on
XXL Clouds Fm kuna jamaa mmoja mkoani Kigoma amesema ameivunja ndoa yake
baada ya kugundua kwamba mke wake amezaa na Chege na mtoto anafanana
kabisa na Chege, yani mke wake amekua kwenye uhusiano wa kimapenzi na
Chege wakati yuko ndani ya ndoa na mwanaume mwingine.
Siku kadhaa zilizopita huyo jamaa alihojiwa Clouds Fm na kusema ameshaongea na Chege na kakubali kosa hivyo Chege kamwambia abaki kigoma atamtumia pesa wamalizane, pia alisema kwamba moja kati ya vitu vilivyompa ushahidi kwamba mke wake anachukuliwa na Chege ni msg alizozikuta kwenye simu pamoja na picha aliyopiga na Chege.
Soudy Brown alipofanya nae interview mara ya pili alimuuliza kama ameshawasiliana na Chege na kama tayari amtajie namba ya Chege, akataja kweli namba lakini haikua namba ya Chege….. ilikua ni namba ya Bob Juniour ambapo Bob Juniour alipoulizwa amesema yeye hausiki na chochote na imekuaje atajwe Chegge alafu namba ni ya Bob?
Kwenye Exclusive interview na XXL nanukuu manneo machache aliyoyatoa Chegge…. “huyu jamaa inatakiwa ajiheshimu sana awe anajua nini anachokiongea, vitu vingine vinaweza kukufanya ujutie maisha yako.. inakujajekujaje Chege na Bob Juniour, mi sio mtu wa drama babu, mabaya hayajifichi mimi ningekua mtu wa mabaya lisingekua mtu la kwanza hili kwa sababu mimi najiheshimu, sina uhusiano wowote na Bob Juniour zaidi ya kujua yeye ni msanii na mimi ni msanii, sina hata namba yake”
Unaweza kuisikiliza Interview yote ya Chege hapo chini alivyotiririka juu ya skendo hiyo.

No comments