THIS IS ME NIKIWA KAZINI NDANI YA DIAMOND JUBILLEE
This is me nikiwa ndani ya Diamond Jubilee katika mahafali ya Kidato cha sita ya waislam mwaka 2011December.Hii ni moja ya kazi inayoniweka hapa town though wachache hawajui kama ni MC katika shughuli mbalimbali.Ikiwa pamoja na catering na decoration katika shughuli.
For more details check out +255714660510
SIRI YA MAFANIKIO NI KUJIAMINI...SONGA MBELE USIKATE TAMAA
Picha na Mohamed Jaku
Safi xana kaka.
ReplyDelete