Recent comments

Breaking News

MIMBA YA LULU YATOKA

http://millardayo.com/wp-content/uploads/2012/05/146.jpg 
Mimba ya msanii maarufu katika tasnia ya filamu za kibongo Elizabeth Michael alimaarufu kama Lulu, inasemekana imetoka baada ya kupatwa na tatizo la kiafya akiwa gerezani.Ambapo leo Lulu amesomewa mashtaka yake ya kuhusu kifo cha msanii mwenzake Steven Charles Kanumba, na kurudishwa tena rumande.Mpaka kesi yake itakapotajwa tena..

No comments