NJIA MBALIMBALI ZA KUINGIZA KIPATO KUPITIA MTANDAO
Wavuti(Website au
blogs)
Kama unamiliki website au blog yenye watembeleaji wa kutosha
inaweza kuwa ni nafasi nzuri kwako kujipatia kipato kwa kuuza nafasi ya matangazo,kujiunga na mfumo wa
matangazo mtandaoni kama vile google adsense au kutangaza biashara
yako mwenyewe.
Youtube wana mfumo unaoitwa Youtube partnership
unaotumika kuweka matangazo kwenye video za wanachama wa Youtube waliojiunga na
mfumo huo kinachofanyika ni kwamba youtube wanaunganisha account yako na google
adsense ambao ndio watakaoweka matangazo kwenye video zako.Sasa kama
una chaneli yenye subscribers na watazamaji wa kutosha jaribu kujiunga nao ila
hakikisha wewe ndo mmiliki wa video usitumie video zilizofungwa na sheria za hakimilki
kinyume na hapo akaunti yako inaweza kufungwa moja kwa moja.
Kuuza bidhaa
mtandaoni
Unaweza kuuza bidhaa zako mwenyewe mtandoni kwenye masoko ya
kimtandao kama vile Amazon au Ebay.Vilevile unaweza kununua bidhaa kutoka
kwenye soko moja na kwenda kupiga bei kwenye soko jingine kwa mfano unaweza
kununua bidhaa amazon na kwenda kuiuza ebay kwa bei ya juu hii ni kutokana na
utofauti wa policy za haya masoko zinazopelekea kuwe na utofauti wa bei kwenye
baadhi ya bidhaa.
Kushiriki katika
tafiti za kwenye mitandao(online survey)
Unaweza kuwa mwanacha katika website(wavuti) mbalimbali ambazo hutumika kufanya tafiti mbalimbali
mtandaoni wanachama wa hizi website hulipwa ikiwa wameshiriki kikamilifu katika
tafiti husika unaweza kujiinga na website zifuatazo ili kujaribu…https://www.surveysavvy.com/?m=6357194 au.. http://www.cashcrate.com/5485151
Kuclick matangazo na
kutembelea website mbalimbali
Unaweza ukadhani masikhara lakini huu ndo ukweli halisi
unaweza kuingiza hela kwa kutembelea website na kuclick matangazo ila
changamoto ya hapa ni kwamba inachukua muda mrefu kidogo kuanza kuingiza hela
ya maana ila msaada mkubwa ni juhudi yako.Unaweza kujiunga na hizi websites
kufanya hiyo kazi.. https://www.paidverts.com/ref/MONDO100
.. http://www.clixsense.com/?6922915
Hizo ni baadhi tu mwenye zingine
anaweza kutoa maujuzi ili wengine wafaidike…Tchao…
No comments