Recent comments

Breaking News

Masogange azidi kutamba na picha za utata ndani ya ukurasa wake wa Instagram

image173-768x1024
Hodari wa kutupia picha zenye utata katika mitandao ya kijamii na kujikuta anajipatia umaarufu mkubwa kwa tabia hiyo yakuachia umbo lake matata hadharani Agness Gerard aka Masogange au mama wa Mibegi.
Ameibuka tena kwa kutupia picha ambayo haina maadili ya kitanzania katika mtandao wa kijamii Istagram, picha hiyo ikimuonesha mwanadada huyo akiwa amevalia kiguo ambacho kimemuweka wazi sehemu kubwa ya mwili wake ikiwemo mapaja, kidovu, mgogo na kiuno.

No comments