Mapya kutoka kwa Hamisa Mobeto na Diamond,sikiliza kupitia You heard ya Mei 21.
Ilishawahi kutoka taarifa ambayo haikuwa rasmi kuhusu uhusiano wa kimapenzi kati ya Diamond Platnumz na Hamisa mobeto ambayo Soudy Brown leo ameongea na Hamisa Mobeto baada ya kusemekana kuna ofisi anataka kufungua mabaya ndani yake kuna mkono wa mshindi wa tuzo 7 za Ktma2014 Diamond Platnumz.
88.0 Clouds Fm inasikika ukiwa Tabora.
Bonyeza play kusikiliza.
No comments