Recent comments

Breaking News

Kundi la Mafikizolo la nchini Afrika Kusini litatumbuiza katika tuzo za BET huko Marekani June29


Kundi la Mafikizolo la nchini Afrika Kusini halitajwa tu kuwania tuzo za BET mwaka huu bali pia litatumbuiza.

“We have not only been nominated at the BET Awards but we will also be performing. Thank you to all the fans who make it all possible,” limeandika kwenye Twitter.Kundi hilo limetajwa kuwania kipengele cha Best International Act: Africa pamoja na Diamond, Davido, Tiwa Savage, Sarkodie na Toofan.

Tuzo za BET zitafanyika June 29 nchini Marekani na host atakuwa mchekeshaji Chris Rock.

No comments