Recent comments

Breaking News

Huddah na Davido nchini Ghana, swali linakuja je ni wapenzi? Isome hapa stori kamili

Aliyekuwa muwakilishi wa Kenya kwenye shindano la Big Brother Africa ‘The Chase’, Huddah Monroe aka Thee Boss Lady ameungna na mastaa kama Davido na HKN Gang nchini Ghana kushuhudia Celebrity Soccer.

Masta wa nchi mbalimbali walishuhudia mechi za mastaa mbalimbali kutoka kwenye nyanja zote za burudani. Tazama picha zaidi.

No comments