Recent comments

Breaking News

M-RAP FEAT. JUX – USIENDE MBALI


M-rap ni mmoja kati ya wasanii mdogo hapa Tanzania anayefanya mziki wake wa kurap(hip hop)kwa umakini sana mpaka sasa amesha achia ngoma mbili tatu akiwa chini ya BHITS studio ila safari hii nyimbo imefanyiwa katika studio Rec chini ya producer BOB Manecky.

M-rap anasema kufanya kazi na Jux kwake imekuwa faraja kubwa maana alikuwa anatamani sana siku moja kwenye maisha yake kufanya kazi na Jux.

No comments