Kichupa Kipya:- Izzo Bizness feat. Hanspuff-Tumoghele
Angalia video mpya ya wimbo wa Izzo Bizness ‘Tumoghele’ aliyomshirikisha Hanspuff. Video imeongozwa Nick Dizzo na humo ndani utamuona Quick Rocker akimuunga mkono Izzo kucheza na kuwakilisha jiji la Mbeya kwa mtindo wa aina yake.
No comments