Exclusive:- Sikiliza Makala maalum yanayomuelezea msanii Lupita Nyong'o ambaye amekuwa ni mfano wa kuigwa kwa waigizaji wa kike Tanzania, Monalisa, Natasha na Sandra Temu ni miongoni mwao (Audio)
Jana tarehe 08/03/2013 ilikuwa ni siku ya wanawake duniani tulifurahi kwa pamoja na Lupita Nyong'o kutoka Kenya ambaye ni mshindi wa tuzo ya Oscar ya mwigizaji msaidizi wa kike aliyoipata kwa kazi nzuri ya uigizaji aliyoifanya kwenye filamu ya utumwa ya ''12 Years A Slave.''
Katika Makala hii iliyoandaliwa na Rahab Fred, utasikia jinsi gani waigizaji wa filamu Tanzania akiwemo Monalisa na Natasha, Sandra Temu (Mtangazaji wa Pillow Talk ya Times Fm) wanavyomzungumzia Lupita Nyong’o kama mwanamke aliyefanikisha ndoto yake kubwa.
Utamsikia mkenya aliyefanya kazi na Lupita Nyong’o akimuelezea jinsi alivyoanza na alivyoweza kufanikisha.
Sikiliza Makala hapa:
No comments