Exclusive:- Huyu ndiye msanii wa kwanza kwa utajiri East Afrika
Ni msaani mwenye uwezo wa kutunga na kuimba,ambaye amepelekea kubadilisha ramani ya muziki East Afrika nakusababisha muziki wa afrika mashariki kusonga mbele.
Kutokana na uwezo wake wa utunzi ndiyo umempelekea kujikusanyia utajiri wa mashabiki barani Afrika,kwa sasa Dr. Jose Chamelion ndiye msanii tajiri namba moja wa Afrika mashariki na wa kumi Afrika nzima.
Kwa mujibu huu kupitia mtandao wa Ghafla wa kenya wameweza kutoa habari hii ya Dr.Jose Chamelion.
No comments